Home Page »  N »  National Anthems
   

Tanzania National Anthem Lyrics

Album Name : Mungu Ibariki Afrika (Tanzania National Anthem)
Release Date : 2007-11-28
Song Duration : 2:55

National Anthems Tanzania National Anthem

1.
Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
Chorus:
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.
2.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Chorus:
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.
Sent by Carlos André Pereira da Silva Branco


Browse: