Home Page »  A »  A.t.m Jeff
   

Chekelea Lyrics


A.t.m Jeff Chekelea

A.T.M JEFF

Every time I think of you my lover
Aahhhhh I swear I'll love you forever aahhhh
Mi ni picha ya Raisi, (ya Raisi) waga siwekwagi bodyguid aahh
Itanikera sana nitaposkia unatoka inje ya ndoa baby usisumbuke kuroga eeh
Manatayari ushanoga ndani ya moyo oh baby oohhhhhh tell me what you need
Niambie unachotaka nitakupa oohhhhh nakupenda sana i think that you know
Baby oohh

Pre chorus

Nimeshadata mimi kwako Nimeshadata oohhh my baby Nimeshadata Nimeshadata
Niamini Nimeshadata mimi kwako nishadata nishadata baby niamini baby iiiih oohhhh dah

Verse
Mwenda kwao haogopi giza wahenga walisema aahhhhh aah
Ndomaana kujakwako baby sikuulizaga aahhhhh aah
Tena usijezani naigiza ikajafika ukaniumiza my baby
Ehh najihisi raha oh baby ehh nikiwa na enjoye nawe some how mama ehh
Kwenye shida na raha baby ehh ning'ang'anie mama nikumbatie sana oohhh
Tell me what you need niambie unachotaka nitakupa oh baby oohhh
Nakupenda sana I think that you know baby ohhhh

Pre chorus
Nimeshadata mimi kwako Nimeshadata oohhh my baby Nimeshadata Nimeshadata
Niamini Nimeshadata mimi kwako nishadata nishadata baby niamini baby oohhhh dah

Chorus

Chekelea 3x
Chekelea baby heyyyyy wendo wangu mama
Nakupenda sana dubidubirudo eiyeiiiiih!
Most Read A.t.m Jeff Lyrics


Browse: