Home Page »  G »  Geeva
   

Train To Boom Lyrics


Geeva Train To Boom




Taka usitake napeleka far
Mpaka abudhabi
Hii kitu
Napiga mashuti, natikisa paa
Wala usijali
Na kama ni mtoto mkali
Subiri masaa
Utacheer na leader chumbani
Shuguli ni pevu, usije na njaa
Mpaka asubuhi hatulali

Binti mdogo lakini huogopi
Tena ni mke wa mtu
Nafunga milango lakini hukomi
Tabia mbaya
Utakuja niponza nishikwe ugoni
Sitaki wahala
Tulia nyumbani ucheze na toy
Punguza mazara
Unapita mipakani kama ni ziwa la nyasa
Samaki ametembea ameishafika mombasa
Jirushe kwa makini binti usije kunasa
Kwa upande wa mangoma huwa sifanyi makosa

Ndo maana taka usitake napeleka far
Mpaka abudhabi
Hii kitu
Napiga mashuti, natikisa paa
Wala usijali
Na kama ni mtoto mkali
Subiri masaa
Utacheer na leader chumbani
Shuguli ni pevu, usije na njaa
Mpaka asubuhi hatulali

Kutega mitego mchezo unaweza
Na mi sina muda kulinda
Kusema ukweli naogopa kunasa
Mkondo umefika mombasa
Kwangu huwezi kupata kibali
Wewe ni njiwa wa pori
Mtoto wa mjini najua manati
Ila sipendi wapori
Haah
Ni hatari kama movie ya John Wayne
Mtoto mkali tumekutana kwenye train
Kutoka Liar mpaka boom, tume click
Na after party tumefanya kwenye,,,

Taka usitake napeleka far
Mpaka abudhabi
Hii kitu
Napiga mashuti, natikisa paa
Wala usijali
Na kama ni mtoto mkali
Subiri masaa
Utacheer na leader chumbani
Shuguli ni pevu, usije na njaa
Mpaka asubuhi hatulali

Most Read Geeva Lyrics
» Drive
» Purple
» Code
» Nine9
» Nambaz
» Sun


Browse: