Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili Nimefanya Nini
Nimefanya nini Bwana kunipenda hivi?
Nilikuudhi Bwana kwa maovu yangu
Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Nilipotea Bwana mbali nawe
Sasa umenivuta, Bwana, kwa upendo wako
Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Nakushukuru Bwana kwa upendo wako
Sasa ninaimba Bwana Haleluya
Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Nikifika mbinguni Yesu nitasahau yote
Yaliyonipata (mengi) hapa duniani
Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu