Sauti Sol Nipe Nikupe
Hey, baby, nataka nikupende mama,
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya nipe nikupe,
darling, nataka nikupende, ie
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya (nipe nikupex4), x2
(unipe nikupe)x4
Hey, baby(my babyx4),
nataka nikupende mama,
(nataka nikupende mama)
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya nipe nikupe,
(my my) my darling,
nataka nikupende, ie
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya (nipe nikupex4), x2
(unipe nikupe)x4