Home Page »  G »  Gosby
   

Gogo Lyrics


Gosby Gogo

[ Verse 1 ]

Mic 1 ,2 , 1 , 2
Nigga this how we do
Jifanye unanigusa watakuharibu
Majungu sio wazuri watakuharibu
Cheki cheki tu nigga this how we do
Natimba hadi Brazil na wanangu
Yeah what's up boo, Usijifanye hunijui
Wanataka kuniona mi niko zangu Kino
Chafu tatu janangu hatuendi Casino
Napiga mambo flani hashpapi ashipinho
Napamba za mandarinho huko kote nimo
Hawa watoto wakiniona shoot moko imo
Usiwe na wasi wasi mi niko na nimo
Kuna tofauti kubwa ya baba na daddy
Kuna tofauti kubwa ya mama na mumy (Say whaaat)
Hata usiwaze kunitafuta majungu you will find me ( 41 Yeah)
Na nilivyokua high utasema rubani (high high)
Haters wako huh unacheka na nani
Mtoto anakula ndizi huyu utasema nyani
Pow Pow Pow Pow

[Chorus]

Gogo yeah man I ride solo, Gogo please don't call me tomorrow
Gogo naanza wao they gonna follow
Gogo leta shobo ulambe lolo X 2

[Verse 2]
Wanakuja Masaki kupiga picha
Halafu baadae wanapost insta
Nyie madogo mnavisa
Mi nakaa Masaki na sijawahi kupiga picha flash flash flash
Wanajifanya wana nyuma wanakung'onga
Sitaki hata salaam zenu ukiniona
Stay away from me baby usinipe Corona
F..ck it maan ndio maana hat siongei now
Niko Chasosa Pub na Joe Masao
Otty Jackson anamjua mwanao
Njoo na mademu zako wana waondoke nao
Your fav rapper nani fav rapper nani( Mtaje)
Em sh!t you're doing now I did 10 years ago
Nyie watoto wangu wote ndio mnageza flow
Thеy call me Gosby if you didn't know
Na hivyo ndivyo ilivyo hivyo hivyo

[Chorus]

Gogo yeah man I ride solo, Gogo plеase don't call me tomorrow
Gogo naanza wao they gonna follow
Gogo leta shobo ulambe lolo X 2

[Outro]

Sh!t is too easy dawg, like 1, 2 , 3 , 4 , 5
Reporting to you live from 255
It's your boy G O S B Y, Gosby Baby
Swaghili Nation, we here now
They tryna put me in a box
But I'm here Eternal Entertainment huh!!!


Browse: