Gosby Wakalishe
Intro
They like bro Wakalishe
They like bro Wakalishe huamini
Dawg I've seen it all kwa mbishe mbishe zamani, X 3
Verse 1
I got money like bank, wanataka wanikabe
Hawajui 26 Nyandu Tozy babu baelezee
Why you chilling over there
Come chill with me
Unaondoka na hao wee
Watakupiga mande
We do this everyday Monday to Sunday
Na flow nzito flow nzito flow nzito nzito nzito ka Kabwe
Hawa lito hawa lito hawa lito lito lito mazabe
Hakdakdnamcbnmajahgdjahdajhdakl
Hata wakisema wanasema si wa back now
Wanataka kutugusa huh!! Ukinigusa we utaguswa
Chorus
They like bro Wakalishe huamini
Dawg I've seen it all kwa mbishe mbishe zamani, X 3
Verse 2
Nanukia ki BOT BOT Professor Luoga ye ndio mi ye ndio me
Utasema nn kwa Gosby ye Gosby hata useme nn sisikii sisikii
Utapigwa makofi, Utapigwa makofi
Wanangu majungu gang gang ni wakorofi
Bro Wakorofi, Nyama Choma hawa Whack rappers Carol Ndossi
I told you muhfakaz ye we back now, still running their mouth
Yeah they runnin their mouths, Kinondoni 41 bado unioni mwanao
Nilikua ghetto nawacheki yeah we back now
Chorus
They like bro Wakalishe huamini
Dawg I've seen it all kwa mbishe mbishe zamani, X 3